Gody A Muro Mwakilishi wa Ubalozini House Of Talents akifuatilia kwa Makini tukio zima la sikukuu ya Mtoto wa Afrika ,Tukio linalofanyika kila mwaka tarehe 16/06. Tukio linalokumbusha waafrika unyanyasaji wa watoto uliokuwa unafanywa na Makaburu huko Afrika ya Kusini.
Haya ni Mambo ya UHT ubalozini house of talent na Movie Mpya ya MKUKI movie yenye maadili ya Kitanzania na yenye Kufundisha na Kuburudisha. Itaanza kupatikana Madukani Punde Tu baada ya Kuzinduliwa !!