Pages

Friday, June 22, 2012

Maathimisho ya Sikukuu ya Mtoto wa Afrika Mwaka Huu Katika Viwanja vya Mwarieni.

Gody A Muro Mwakilishi wa Ubalozini House Of Talents akifuatilia kwa Makini tukio zima la sikukuu ya Mtoto wa Afrika ,Tukio linalofanyika kila mwaka tarehe 16/06. Tukio linalokumbusha waafrika unyanyasaji wa watoto uliokuwa unafanywa na Makaburu huko Afrika ya Kusini.

No comments:

Post a Comment